Tamko La Imani Ya Kibaptisti La 1689
Original price was: KSh800.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00.Kitabu hiki ni tafsiri ya Tamko La Imani ya Kibaptisti ya mwaka wa 1689. Imebeba mafundisho msingi juu ya mada kuukuu ya imani ya Kikristo, Kiprotestanti na ile ya Kibaptisti. Ni rasilmali muhimu sana kwa wale wanaotaka elimu kabambe kwa namna ya mukhtasari.